LyHans Hannee - Mia Kwa Mia

Song Rating: 9.28/10

Song lyrics:

(Intro)
hehehe KitaLegend homie hehehe
LyHaaans
twende kazi (Verse I)
am so fly, lazima niwe hewani,
ukiskia hehehe ujue ni LyHans ako ndani
mashinani niko ndani ya fani maskani flani kila wakati, nikisaka money
hustla napiga sala kwa mola ndo nipate hela
pop collar ili nishike mulla ka bank teller
storyteller kwa biti, vitu natema si silly
najikaza sana mithili ya mishipi mingi
saluti kwa masela na mafella kila mahali
nimeanza kuvuka border nikisaka ma dili,
ndio ni get dollar buy ndula,
mulla on my medulla,
sister du na brother du toka Kitale hadi Dar-Es-Salaama
hala , niteme bars kadha wa kadha
Kiswahili nasema mithili ya Wallah Bin Wallah
Mia kwa mia toka Kenya hadi Tanzania
Afrika hadi Amerika natema nikiskika (Chorus)
Mia kwa mia
Kwa mia, kwa mia,
Mia kwa mia
Hustla naleta vitu mia kwa mia
Mfukoni kunaingia ma mia na mia X2 (Verse 2)
Kila kitu ni mia kwa mia,
Kwa benki ma mia na mia yanaingia,
Msanii naleta asilimia mia,
Penye nia pana njia


omba, panga, anza na utapata
nafuata nyuki always nile honey
niko njiani eryday kusaka money,
mfukoni shilingi ni mbili
na bado nasaka mingi
am so hungry for money,
na nikipata I get greedy,
sober mind lazima uwe steady,
kwa streets ka pedi,
bidii na miradi hazijadedi ju niko ready
ka akili ni nywele,
mi ni rasta bila dreadi
get money, eryday,always the same way
nasaka nasaka, tafuta tafuta,
mchezo tiktaka,
ka Shawn Carter naleta masterpiece ka Magna Carta,
nasakata karata ya hustlas with ambitions,
flow tighter, higher ka kiter,
kwa muziki mi ni writer,
ready ka fire fighter,
ju nawasha flames na lighter,
making cla**ics, no more time for remix,
no more time for refix, no more time for fake sh**s,
hustla naleta mia kwa mia,
kwa mia,kwa mia,
vumilia, ka punda milia,
hakuna kulia pesa ikiingia
kwa Mungu nimeaminia
mazoea ni kuwaimbia (Chorus) *END*

Date of text publication: 16.01.2021 at 20:02